MAHAFALI YA 13 YA PSPTB YAFANA JIJINI DAR

 

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akizungumza wakati wa Mahafali ya 13 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Jacob Kibona akizungumza katika Mahafali ya 13 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB  kuanzishwa kwa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi 2007 nak usema kuwa kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha bodi matokeo yote ya mitihani ya bodi ni lazima yapitiwe na kuidhinishwa na bodi ya Wakurugenzi.

Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Godfred Mbanyi akizungumza wakati wa Mahafali ya 13 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB ambapo amewaasa wahitimu kufanya kazi kwa kufata maadili ya kitaaluma ili kulinda heshima ya fani yao na kuleta ufanisi katika matumizi ya rasirimali za umma kwa manufaa ya Taifa wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

Mshehereshaji ambaye ni  Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma ( PSPTB), Shamim Mdee  akizungumza jambo wakati wa Mahafali ya 13 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB.

Baadhi ya Wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi wa PSPTB wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) wakati wa Mahafali ya 13 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akiwatunuku wahitimu wa walioudhuria Mahafali ya 13 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

Related Posts