Mkwanja inapatikana Beach Penalties Tu

 

Ni rahisi kabisa kushinda mkwanja na mchezo huu kabambe wa Kasino mjini wa Beach Penaltiesambao umekua pendwa kutokana na namna ambavyo mchezo huu ni rahisi kuucheza, Kwanikinachohitajika ni ufundi na umahiri wako tu wa kupiga Penalty.

Kwa kila pigo moja lina odds zake za ushindi ambazo zitajumlishwa na dau lako ulilowekakuchezea, kama ulikuwa unawaza ni mchezo gani wa kucheza, nikushauri tu ujaribu mchezo huu mpya wa kasino yamtandaoni.

Beach Penalties ni mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni unaoweza kucheza kwa dau dogo Zaidi, la kuanzia Tsh 100, huku kila penati utakayopata inahesabaiwa na odds kubwa za ushindi.

Jisajili na Meridianbet kufurahia mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, wakati ambao unawezakuwa tajiri mkubwa kwa kupiga penati 5 tu. Mchezo huu pia dau la mwisho kucheza ni Tsh100,000/=

Jinsi ya kucheza mchezo huu

Njia rahisi ya kucheza na kushinda kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, ni kamaifuatavyo

Hatua ya kwanza: utafungua mchezo kupitia tovuti ya Meridianbet kasino, kisha utaandika Beach Penalties.

Hatua ya Pili: Utachagua kipa/ mlinda mlango ambapo wanakuwa wanne.

Hatua ya Tatu: Unachagua Level unayotaka kucheza, tambua mchezo huu wa kasino ya mtandaoniuna level 3, ambayo ni Expert Scorer, Regular Scorer na Goal Keeper Scorer.

Hatua ya nne: Utaweka dau lako unalotaka kucheza, mchezo huu unaruhusu kuanzia dau la Tsh100 hadi 100, 000/=

Baada ya kufanya yote hayo, kabla hujapiga mkwaju wa Penati, unatakiwa kuchagua upandeambao uelekeo ya mpira unataka kwenda, kisha utabonyeza kitufe cha mpira, hapo tayariunakuwa umeanza safari ya ushindi.

NB: Jisajili na Meridianbet, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Piaongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

About The Author

Related Posts