Mpiga picha wa Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya ESK Production Elia Stephano ameshinda tuzo katika kipengele cha Best C.E.O of the year in media and content creation katika Tuzo za wakurugenzi vijana (Young C.E.O awards Afrika) zilizofanyika katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam.
Mpiga picha wa Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya ESK Production Elia Stephano akipokea tuzo ya mshindi wa The Best C.E.O of the year in media and content creation wakati wa Tuzo za wakurugenzi vijana (Young C.E.O awards Afrika) zilizofanyika katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam.
Mpiga picha wa Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya ESK Production Elia Stephano akitoa shukrani kwa wageni waliofika mara baada ya kupokea tuzo kipengele cha Best C.E.O of the year in media and content creation wakati wa Tuzo za wakurugenzi vijana (Young C.E.O awards Afrika) zilizofanyika katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam.