PICHA:Yanayojiri kutoka msibani kwa mchekeshaji marehemu mzee Pembe

Kutoka Yombo Nyumbani kwa Mchekeshaji Mkongwe Marehemu mzee Yusuph Kaimu Maarufu Kama Pembe aliyefariki Dunia siku ya Jana alasiri katika hospital ya Temeke alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mfupi

 

Marehemu mzee Pembe anatarajiwa kuzikwa mchana huu katika makaburi ya Yombo na “amefariki Dunia akiwa na watoto 11 yeye akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60” amesema rafiki yake wa karibu Mzee Senga ambaye alikuwa naye hadi Dakika za mwisho za umauti wake

 

 

Related Posts