CAF yatangaza makocha na wachezaji wanaowania tuzo kwa mwaka 2024

Shirikisho la soka Afrika CAF limetangaza timu, Wachezaji na Makocha wanaowania tuzo za CAF 2024.

Golikipa wa Yanga SC Djigui Diarra ni miongoni mwa Magolikipa wanaowania tuzo ya Kipa bora wa mwaka wakati Simba SC na Yanga zikiwa miongoni mwa timu 10 zinazowania tuzo ya Timu bora ya mwaka upande wa Vilabu

Huku timu ya Taifa ya Uganda ikiwa Taifa pekee la Ukanda wa Afrika Mashariki kuwa katika list ya Timu 10 zanazowania tuzo ya timu bora ya Taifa.

Related Posts