BETI NA MERIDIANBET IJUMAA YA LEO

HATIMAYE wikendi ndio hiyo imeanza wakati huo huo wewe ukiwa unaifurahia Meridianbet wanakwambia kuwa una nafasi kubwa ya kuondoka na kitita cha pesa siku ya leo. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
Weka mzigo wako wa maana kwenye mechi za ligi kuu ya Tanzania yaani NBC ambapo Simba baada ya kupata ushindi mwembamba mechi yake iliyopita leo atakipiga dhidi ya Namungo ambayo ina kocha mpya Juma Mgunda. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Mnyama kwa ODDS 1.16 kwa 5.09. Jisajili hapa.
Pia Azam FC watakuwa wenyeji wa KenGold pale Azam Complex huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 11 huku mgeni ndiye kibonde wa ligi hadi sasa akishinda mechi 1 pekee kati ya 8 alizocheza. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.
Ni rahisi sana kupiga mpunga mrefu na Meridianbet leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vilevile ligi kuu ya Uingereza EPL kuna mtanange mmoja leo kati ya Leicester City vs Nottingham Forest katika dimba la King Power. Wote wametoka kushinda mechi zao za mwisho kwenye ligi, japokuwa Meridianbet wanampedelea Forest kuibuka na pointi 3 kwa ODDS 2.35 kwa 2.99. Suka jamvi hapa.
Kule LALIGA sasa kuna mechi kali kati ya Espanyol Barcelona dhidi ya Sevilla FC ambapo wote wametoka kupigika vibaya mechi za za wikendi iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 15 na mgeni wake nafasi ya 13. Timu zote mbili zinahitaji ushindi kwenye mechi hii ya leo huku ODDS zao leo zikiwa ni 2.99 kwa 2.41. Jisajili sasa.
Lakini pia kule Ujerumani BUNDESLIGA kutawaka moto haswa kati ya FSV Mainz dhidi ya Borussia Monchengladbach ambao walishinda mechi yao iliyopita wakiwa nyumbani huku mwenyeji wake akipoteza. Timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi yaani mwenyeji yupo nafasi ya 12 na mgeni wake nafasi ya 11. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.27 kwa 2.84.
Meridianbet pia wanakwambia pesa ipo kwenye mechi ya Udinese Calcio dhidi ya Cagliari Calcio ambapo mara ya mwisho kukutana, walitoa sare huku leo hii mwenyeji akipewa nafasi ya kushinda akiwa na ODDS 2.20 kwa 3.33. Je nani kuondoka na pointi 3 leo hii?. Beti hapa.
Mechi nyingine Italia ni hii inayowakutanisha Torino FC dhidi ya Como 1907 ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 2 pekee. Mwenyeji ameshinda mechi 3 na mgeni wake ameshinda mechi 2 pekee. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2004 na Como alipasuka michezo yote. Je leo hii anaweza kulipa kisasi cha miaka 20?. ODDS za mechi hii ni 2.60 kwa 2.84. Jisajili hapa.
Pia ligi kuu ya Ufaransa leo LIGUE 1 kuna mechi moja kati ya Stade Rennes vs Le Havre ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda leo kwani mechi ya mwisho walipokutana alipoteza nyumbani. Mwenyeji kuondoka na pointi 3 leo amepewa ODDS 1.49 kwa 6.46. Wewe beti yako unampa nani? Bashiri sasa.

Related Posts