Mashauzi ampa mdogo wake saloon ya Milioni zaidi ya 50

Mwimbaji wa Taarabu Isha Mashauzi amemzawadia mdogo wake Saloon ya Milioni zaidi ya 50 baada ya mdogo wake huyo kuacha kufanya Muziki wa Taarabu aliokuwa akifanya na kujulikanika kwa jina la Saida Mashauzi

Mashauzi amemkabidhi saloon hiyo siku ya leo na kusema amefanya hivyo baada ya mdogo wake kuacha muziki na kumrudia Mungu ndipo alipoamua kumfungulia saloon japo hapo awali amemsomesha yeye mdogo wake chuo cha ususi..

Hata hivyo Mashauzi amehusika Kwenye kuwasaidia wadogo zake kimalezi baada ya wazazi wao kufanikiwa na Pamoja na kufungua Biashara hiyo na kumpa mdogo wake bado anaendelea na Biashara yake ya chukula na kufanya Muziki huku akiwa antarajia kufungua Biashara nyingine mikoani

Related Posts