Picha: Rais Samia akutana na Mtendaji Mkuu huyu nchini Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright ambapo mazungumzo hayo yalijikita katika kukuza na kuimarisha mahusiano baina ya pande mbili hizo, leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, lowa nchini Marekani.

 

Related Posts