BALOZI NCHIMBI ASHIRIKI ZOEZI KUAGA MWILI WA JENERALI DAVID BUGOZI MUSUGURI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi akishiriki matukio mbalimbali wakati wa ratiba ya kutoa heshima
za mwisho kuaga mwili wa Jenerali David Bugozi Musuguri (mkuu wa majeshi
mstaafu), shughuli iliyofanyika Kambi ya Jeshi Lugalo, jijini Dar Es
Salaam, na kuongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Phillip Isdory Mpango, leo Ijumaa, 1 Novemba, 2024.











Related Posts