WAJASIRIAMALI WA TANZANIA WAENDELEA KUTANGAZA BIDHAA ZAO SUDAN KUSINI

Na: Mwandishi Wetu – Juba, Sudan Kusini

Wajasiriamali kutoka nchini Tanzania wakiendelea kutoa elimu na kuonesha bidhaa mbalimbali katika Maonesho ya 24 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika katika Viwanja vya Freedom Hall, Jijini Juba, Sudan Kusini.

Maonesho hayo yanaongozwa na kauli mbiu “Kukuza Ubunifu wa Kipekee na Maendeleo ya Ujuzibmiongoni mwa Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Afrika Mashariki,”







Related Posts