Je unajua kuwa siku ya leo ndio siku ya wewe kuondoka kifua mbele kwa kubashiri na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet kwani nafasi ya kuwa mshindi ni wazi sana leo.
Kama kawaida tunaanza na ligi kuu ya Uingereza EPL ambayo leo hii mapema kabisa saa tisaArsenal atakuwa ugenini dhidi ya Newcastle United baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita. The Gunners wanahitaji ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuwania taji la ligi. Je wataweza kushinda dhidi ya vijana wa Eddie Howe?. Mechi hii ina ODDS 3.65 kwa 2.05. Jisajili hapa.
Naye AFC Bournemouth atamualikwa kwake bingwa mtetezi Manchester City ya Guardiola ambao ndio vinara wa ligi hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana City waliondoka na ushindi mwembamba katika dimba la Vitality. Je hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi huku Meridianbet wakimpa mgeni nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.58 kwa 5.80. Bashiri hapa.
Liverpool ya Arne Slot kukiwasha dhidi ya Brighton ambao wapo nafasi ya 6 huku wakitofautiana pointi 6 pekee. Mechi ya mwisho kukutana Jogoo wa Anfield alishinda. Leo hii pale Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.39 kwa 7.00. Je beti yako unaiweka wpai hapa. Suka jamvi lako sasa.
Meridianbet inakupa urahisi wa kutusua mkwanja leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Kule BUNDESLIGA leo pia viwanja mbalimbali kutimua vumbi, Bayern Munich wataumana dhidi ya Union Berlin ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee ambapo mgeni anahitaji kulipa kisasi baada ya kupigika mtanange wa mwisho kukutana. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili hapa.
Wakati VFL Wolfsburg yeye atamenyana dhidi ya Augsburg ambao walipata ushindi mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye alitoa sare huku ushindi huu wa leo utamfanya apande hadi nafasi ya 11 kutoka ya 14. Nani kuondoka na ushindi leo?. 2.10 kwa 3.35 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Baada ya Frankfurt kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atarejea nyumbani kuchuana vikali dhidi ya VFL Bochum ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda mechi ya leo wakipewa ODDS 7.00 kwa 1.40. Takwimu zinaonyesha kuwa walipokutana mara ya mwisho walitoa sare. Beti yako unaiweka wapi leo?. Tengeneza jamvi hapa.
Mechi kali leo Ujerumani ni hii ya Borussia Dortmund VS RB Leipzig itakayopigwa majira ya saa 2:30 usiku huku wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wakimpa ushindi Dortmund kwa ODDS 2.15 kwa 3.20. Jisajili hapa.
Kule Hispania LALIGA mechi ni mbili tuu leo hii CA Osasuna dhidi ya Real Valladolidambaye ana hali mbaya kwenye ligi nafasi ya 19 kwenye ligi akishinda mechi mbili kati ya 11 alizocheza. Mwenyeji yupo nafasi ya 8 akishinda mechi 5. Beti mechi hii yenye ODDS 1.67 kwa 5.60.
Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Girona dhidi ya CD Leganes huku nafasi ya kuondoka kidedea akikabidhiwa mwenyeji akiwa na ODDS 1.69 kwa 5.80 wakati mara ya mwisho kukutana, walitao sare hivyo leo timu zote zinataka ushindi. Bashiri sasa.
Vilevile ligi kuu ya Italia SERIE A, kuna mechi zenye kukupatia pesa Bologna kuchuana dhidi za US Lecce ambapo timu zote zimetoka kushinda mechi zao zilizopita hivyo leo hii kila mtu anataka kuendeleza ushindi kwa kukusanya pointi 3. Mgeni anataka kulipa kisasi baada ya kupigika mechi ya mwisho kukutana. 1.74 kwa 5.40 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Juventus baada ya kutoa sare mechi iliyopita, leo hii atakipiga dhidi ya Udinese ambao wanafatana kwenye msimamo wa ligi yaani mwenyeji wa 7 na Bibi Kizee wa 6. Meridianbet wamempa Juve ushindi kwa ODDS 2.00 kwa 4.20. Jisajili hapa.
Wakati majira ya saa 4 usiku AC Monza baada ya kulazimishwa sare mechi iliyopita leo tena watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya AC Milan ambao walipigika mechi yao iliyopita. Mechi ya mwisho kukutana Milan alipigika. Je leo hii atafanya nini ugenini. 5.80 kwa 1.65. Beti hapa.
LIGUE 1 nayo kama kawaida PSG atakuwa nyumbani dhidi ya RC Lens ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 9 ambapo Paris ndiye kinara wa ligi hadi sasa. 1.40 kwa 7.40 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na ubashiri hapa sasa.
Pia dimba lingine litakalowaka moto ni Francis le Ble ambapo Brest atamkaribisha kwake Niceambao wote wana pointi sawa kwenye ligi. Nafasi ya kushinda leo amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 2.75 kwa 2.80. Wewe unampa nani ushindi leo?. Jisajili hapa.