BASHUNGWA AWASILI KILWA KIVINJE SAA 5 USIKU NA BOTI KUPITIA BAHARINI KUWAFIKIA WANANCHI

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo pamoja na Wataalam wengine wamesili katika Mji mdogo wa kilwa kivinje wilaya Kilwa mkoani Lindi kwa usafiri wa boti kutoka Somanga kupitia baharini kwa ajili ya kuangalia hali Miundombinu na kuwafikia Wananchi kutokana na mawasiliano ya Barabara ya Lindi – Dar- es Salaam kukatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizoambatana na kimbunga Hidaya, leo tarehe 05 Mei 2024.





Related Posts