OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA YASHIRIKI MKUTANO WA 9 MTANDAO WA MAMENEJA NA WASIMAMIZI WA RASILIAMALIWATU

 

Naibu Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Mhandisi Samwel Tanguye amepokea tuzo ya Mwezeshaji/mtoa mada katika Mkutano wa tisa (9) wa Mtandao wa Mameneja na Wasimamizi wa Rasilimali watu katika Taasisi za Umma Barani Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa AICC – Arusha.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Mick Kiliba akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi kutoka katika Ofisi hiyo walioshiriki Mkutano wa tisa (9) wa Mtandao wa Mameneja na Wasimamizi wa Rasilimali watu kutoka Taasisi za Umma Barani Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC – Arusha.

Related Posts