Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Novemba 6, 2024 saa 6:01 usiku Mkoa wa Dar es Salaam petrol ni Tsh. 2943 kwa lita, dizeli Tsh. 2844 na mafuta ya taa 2943.