MAKAMU WA RAIS AWASILI BAKU AZERBAIJAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaoshiriki Mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) mara baada ya kuwasili Baku nchini Azerbaijan leo tarehe 09 Novemba 2024. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo  unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 11 – 22 Novemba 2024 Jijini Baku.

Related Posts