Imani apewa Mil 8 Arusha kisa mashine ya vifaranga,awakilisha Tanzania nje

Kijana wa kitanzania Imani Martin kutoka Jijni Dar es salaam pamoja na wenzake wawili wameshinda dola kimarekani elfu tatu ambazonni zaidi million saba baada ya kuwashinda wenzake zaidi ya washiriki mia nne kwenye ubunifu wa kidigitali

 

Kupitia program ya ujasiriamali kwa vijana inayotolewa na Afrika inayoshirikisha nchi saba 7 barani Afrik ambayo lengo lake ni kuendeleza mawazo yao ya kibiashara imefikia shulr na vyuo zaidi ya 60 zenye jumla ya wanafunzi elfu moja na kupata mawazo hayo zaidi ya mia nne

 

Akizungumza wakati wa kuhitimisha mafunzo hayo Prophet makere ambaye ni msimamizi wa mradi amesema msindi aliyepata dola 3000 katika shindano ataiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye mashindano ya kibiashara january 2025 hivyo kuongeza mitaji zaidi

Related Posts