MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MKUTANO WA COP 29

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akiwa katika picha ya
pamoja na Rais wa Azerbaijan Mhe. Ilham Aliyev (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu
wa Umoja wa Mataifa Mhe. António Guterres (kulia) wakati alipowasili katika Ukumbi wa
Nizami kushiriki Mkutano wa
29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa
Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29)
unaofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan. Tarehe 12 Novemba
2024.

 

Related Posts