RC afanya ziara na Chopa ZNZ ataka watu wazoee,yapita chini chini kwenye mitaa

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Rc Idrissa Kitwana Mustafa amefanya ziara ya Dakika 24 katika Mkoa wa mjini kuutazama kiusalaama mkoa wake na namna miradi mbali mbali inavyoendelea katika mkoa huo akitumia usafiri wa Chopa (Helikopta)

 

Kitwana amesema akiwa angani ameshudia visiwa vilivyopo mkoa wa mjini ambavyo wamepewa wawekezaji ,maeneo mengine ambayo yamejengwa bila mpangilio na sehemu ambazo maji yamefika mpaka kwenye makaazi ya watu na kwamba amekua na jambo la kwenda kuishauri serikali kuu

 

Rc amesema mji uko salama na katika ziara hiyo pia imekusudia kuwaafanya watu wazoee ziara hizo za helikopa ambayo ilioonekana kupita chini chini kwenye mitaa mbali mbali ya Mjii

Related Posts