WAZIRI KIKWETE, KAMATI YA BUNGE USTAWI WA JAMII WATEMBELEA VIWANDA DAR, PWANI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete (Mb) ameongozana na  Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii kutembelea Viwanda kukagua kazi ya kusimamia Usalama Mahala Pa Kazi katika Viwanda vya Elsewedy kilichopo Kigamboni,Dar Es Salaam na Knauf kilichopo Mkuranga, Pwani. Kamati ya Bunge imeridhishwa na kazi nzuri inayofanywa. #KaziInaendelea

Related Posts