RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BENKI YA STANBIC TANZANIA IKULU ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Stanbic Tanzania Patrick Rutabanzibwa (kulia kwa Rais) akiongoza Ujumbe wa Uongozi wa Benki hiyo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-11-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzi wa Uongozi wa Benki ya Stanbic Tanzania, wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Manzi Rwegasira (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo ya utendaji wa benki hiyo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-11-2024.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Benki ya Stanbic Tanzania, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Stanbic Tanzania Patrick Rutabanzibwa (kulia kwa Rais ) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-11-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Stanbic Tanzania Patrick Rutabanzibwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-11-2024.(Picha na Ikulu)

Related Posts