Leo hii wikendi ndio inaanza hivyo ambapo mechi kibao za mataifa zitapigwa hapo baadae kusaka tiketi ya Afcon kwa upande wa Afrika na kule Ulaya ni mechi za kutafuta nafasi nzuri kwenye msimamo wa mataifa.
Portugal anayeongoza kundi A atamleta kwake Poland ambaye ana pointi 4 huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Mreno kwa ODDS 1.25 kwa 10. Mara za mwisho kukutana timu hizi Ronaldo na wenzake wlaiondoka na ushindi. Je wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa
Wakati huo huo Croatia watakuwa wageni wa Scotland ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6. Ikumbukwe kuwa mwenyeji ndiye anayeshika mkia akiwa hajashinda hata mechi moja lakini ana sare moja pekee. Je leo hii anaweza kupata ushindi wake wa kwanza?. Mechi hii ina ODDS 3.25 kwa 2.15. Bashiri hapa.
Wikendi hii odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Spain uso kwa uso dhidi ya Denmark ambapo timu hizi mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliondoka na pointi 3 zote. Hispania ndio mabingwa wa bara la Ulaya hadi sasa na leo hii wanahitaji ushindi kuendelea kukaa kileleni. 4.10 kwa 1.95 ndio ODDS za mechi hii. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.
Piga pesa pia kwenye mechi za kufuzu AFCON kwenye mataifa ya Afrika ambapo Uganda atamkaribisha South Africa katika kundi K huku timu hizi zikitofautiana pointi 2 pekee. Kila timu inahitaji nafasi ya ushiriki michuano mikubwa Afrika. 2.90 kwa 2.65 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Zimbabwe wataumana dhidi ya Kenya ambao wana pointi 4 pekee kwenye mechi zao 4 walizocheza wakishinda mechi moja na kutoa sare moja pekee. Mwenyeji yeye ana pointi zake 8 huku Meridianbet wakimpendelea mwenyeji kushinda leo kwa ODDS 2.60 kwa 2.80. Bashiri sasa.
Wakati huo huo Mozambique watakichapa dhidi ya Mali ambapo takwimu zinasema kuwa mara ya mwisho walipokutana, walitoa sare. Wote wana pointi 8 kwenye msimamo wa kundi lao hadi sasa huku kina Djugui Diarra ndio wanapewa nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 2.05 kwa 3.80. Tengeneza jamvi hapa.
Vilevile Zambia atapepetana dhidi ya Ivory Coast katika kundi G ambapo mwenyeji mechi yake iliyopita alishinda wakati kwa mgeni yeye akipoteza. The Ivory chini ya kocha mkuu Emerse Fae walipoteza mechi yao iliyopita. Je leo hii wanaweza kubali kupoteza mara mbili mfululizo?. Beti mechi hii yenye ODDS 4.10 kwa 1.91.
Pia Eswatini ambao ni wa mwisho kwenye kundi wataumana dhidi ya Guinea-Bissau ambao wana pointi 4 hadi sasa. Mwenyeji anahitaji kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mwisho walipokutana. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mgeni akiwa na ODDS 1.83 kwa 4.40. Jisajili hapa.
Saa 4 usiku Morocco atakuwa ugenini dhidi ya Gabon katika kundi B ambapo mgeni ndiye kinara wa kundi akishinda mechi zote nne alizocheza wakati mwenyeji yeye akishinda mechi mbili kati ya nne alizocheza. Mechi hii imepewa ODDS 3.40 kwa 2.41. Bashiri hapa.
Mechi nyingine kali ni hii ya Angola VS Ghana ambao mpaka sasa kwenye mechi 4 walizocheza hawajashinda hata moja. Wameambulia sare mbili pekee wakati kwa mwenyeji wao ameshinda mechi zote 4 na leo hii ndiye anayependelewa zaidi kuondoka na ushindi kwa ODDS 2.50 kwa 2.70. Jisajili sasa.