Rais Samia aelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kushiriki Mkutano Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20 nchini Brazil

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana
na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea
Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na
Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20.  Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Brazil
Mhe.
Luiz Inácio Lula da Silva ambapo pamoja na mambo mengine, atashiriki mijadala inayolenga
kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika mapambano dhidi ya njaa na umaskini,
kuchochea maendeleo endelevu na matumizi ya nishati mbadala.


 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda ndege
kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu
wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana
na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil
kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama
wa Kundi la G20. Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Brazil Mhe.
Luiz
Inácio Lula da Silva
ambapo pamoja
na mambo mengine, atashiriki mijadala inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kimataifa
katika mapambano dhidi ya njaa na umaskini, kuchochea maendeleo endelevu na
matumizi ya nishati mbadala.


 

@font-face
{font-family:”Cambria Math”;
panose-1:2 4 5 3 5 4 6 3 2 4;
mso-font-charset:0;
mso-generic-font-family:roman;
mso-font-pitch:variable;
mso-font-signature:-536870145 1107305727 0 0 415 0;}@font-face
{font-family:Calibri;
panose-1:2 15 5 2 2 2 4 3 2 4;
mso-font-charset:0;
mso-generic-font-family:swiss;
mso-font-pitch:variable;
mso-font-signature:-469750017 -1040178053 9 0 511 0;}@font-face
{font-family:Baskerville;
panose-1:2 2 5 2 7 4 1 2 3 3;
mso-font-charset:0;
mso-generic-font-family:roman;
mso-font-pitch:variable;
mso-font-signature:-2147483545 33554432 0 0 415 0;}p.MsoNormal, li.MsoNormal, div.MsoNormal
{mso-style-unhide:no;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
margin:0cm;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:12.0pt;
font-family:”Calibri”,sans-serif;
mso-fareast-font-family:Calibri;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-language:EN-US;}h1
{mso-style-priority:9;
mso-style-unhide:no;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-link:”Heading 1 Char”;
mso-margin-top-alt:auto;
margin-right:0cm;
mso-margin-bottom-alt:auto;
margin-left:0cm;
mso-pagination:widow-orphan;
mso-outline-level:1;
font-size:24.0pt;
font-family:”Times New Roman”,serif;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;}span.Heading1Char
{mso-style-name:”Heading 1 Char”;
mso-style-priority:9;
mso-style-unhide:no;
mso-style-locked:yes;
mso-style-link:”Heading 1″;
mso-ansi-font-size:24.0pt;
mso-bidi-font-size:24.0pt;
font-family:”Times New Roman”,serif;
mso-ascii-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-hansi-font-family:”Times New Roman”;
mso-font-kerning:18.0pt;
font-weight:bold;}.MsoChpDefault
{mso-style-type:export-only;
mso-default-props:yes;
font-size:10.0pt;
mso-ansi-font-size:10.0pt;
mso-bidi-font-size:10.0pt;
font-family:”Calibri”,sans-serif;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-fareast-font-family:Calibri;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-font-kerning:0pt;
mso-ligatures:none;}div.WordSection1
{page:WordSection1;}
 

Related Posts