Unaweza kuweka dau hadi sarafu tano (Coin) wakati wa mchezo. Jumla ya dau kwa kila mzunguko unategeme na kiwango unachotaka kuweka, lakini thamani yake inaendana idadi ya sarafu.
Michezo ya Bonasi
Unaweza kucheza Kamari/Gamble kila ushindi unaoupata katika Kasino ya mtandaoni ya All Aces Poker, isipokuwa ushindi wako unapofikia kiwango cha juu cha malipo wakati wa mzunguko mmoja.
Lengo la kamari ni kuchagua moja ya kadi zilizobaki kati ya tano ambapo moja inakuwa wazi na iwe na thamani kubwa kuliko kadi iliyo wazi. Unaweza kucheza kamari mara kadhaa mfululizo.
Ikiwa kadi zitakuwa na thamani sawa, unaweza kujaribu tena. Unaweza kucheza kamari hadi ufikie kiwango cha juu cha malipo kwa mzunguko mmoja wa kasino ya mtandaoni.
Kama ilivyo katika malipo mengine ya video poker, mchanganyiko wa kushinda wa chini kabisa ni jozi moja. Lakini, hata hivyo, mchezo huu una tofauti kidogo na mengine. Unapopata jozi ya jack au kadi zenye thamani kubwa zaidi, basi utapata ushindi.