CPA Makalla azindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa Dar es salaam .

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla, tayari amewasili katika Viwanja vya Buliaga, vilivyopo katika Kata ya Miburani Wilayani Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam na kupokelewa na wanachama na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni za Serikali za Mitaa, ambazo zinaanza rasmi leo Novemba 20 hadi 26, 2024.

Related Posts