DKT. NCHIMBI AWASILI FURAHISHA KWA UZINDUZI WA KAMPENI ZA SERIKALI ZA MITAA MKOANI MWANZA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili leo tarehe 20 Novemba 2024 katika Viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza, kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa chama hicho katika ngapi ya mkoa.

Related Posts