BoT yazifungia ‘App’ 69 zinazotoa mikopo mtandaoni

Na Mwandishi Wetu

Benki Kuu ya Tanzania(BoT), imetoa orodha ya ‘Applications’ 69 zinazotoa mikopo ya fedha mtandaoni zilizofungiwa kujihusisha na huduma hiyo.

Taarifa iliyotolewa na BoT leo Novemba 21,2024 imesema inashirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA), kuzifungia programu hizo.

Related Posts