Kampuni ya Serikali ya Twiga Minerals Corporation yenye ubia na kampuni ya Barrick katika kuendesha shughuli za uchimbaji wa dhahabu katika migodi ya North Mara, na Bulyanhulu imepata tuzo ya kuendesha shughuli zake kwa katika kutekeleza sera ya Local content kwa viwango vya juu kutoka kwa Wizara ya Madini nchini wakati wa hafla ya usiku wa madini iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika madini unaoendelea nchini.Twiga na Barrick pia ndio wadhamini wakuu wa mkutano huu