Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini awaasa wananchi kujitokeza kuwachagua viongozi sahihi

Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema amesema Arusha ilikuwa na wagombea 154 wa nafasi mbalimbali wa uchaguzi wa serikali za mitaa lakini wagombea 106 wamekatwa nakuwataka wananchi kupambana nakuwachagua waliobaki na kwamba safari hii hawatajitoa

Lema ametoa kauli hiyo Mkoani Arusha katika stendi ya kilombero wakati akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa

 

Related Posts