DROO ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa upande wa wanawake (Awcon), ilifanyika juzi usiku jijini Sale, Morocco na timu ya Taifa ya Tanzania imepangwa kundi āCā lenye bingwa mtetezi Afrika Kusini, Ghana na Mali.