BALOZI NCHIMBI AWASILI MZUMBE MOROGORO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel Nchimbi akipokelewa na Rais wa Baraza la Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, CPA Ludovick Utouh na Makamu Mkuu wa Chuo, Profe. William Mwegoha, alipowasili chuoni hapo akiwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa Mwaka wa Baraza la Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe, leo tarehe 23 Novemba 2024.






Related Posts