Jumamosi ya kutusua na Meridianbet imefika na leo hii una nafasi kubwa kabisa ya kuondoka na mamilioni ya pesa kwani ligi zimerejea na odds za kibabe zinakusubiri wewe tuu.
Ligi kuu ya Uingereza EPL leo hii mapema kabisa saa 9:30 mchana Chelsea baada ya kutoa sare mbili mfululizo, leo hii atakuwa mgeni wa Leicester City ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wanawapa The Blues nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.45 kwa 6.80. Jisajili hapa.
Pia Everton atakiwasha dhidi ya Brentford huku mara ya mwisho kukutana, The Toffees walishinda, hivyo basi leo hii ni siku ya Thomas Frank na vijana wake kulipa kisasi. Tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee. Je nani kuibuka na ushindi leo?. Mechi hii ina odds 2.42 kwa 3.00. Bashiri hapa.
Jumamosi ya kuondoka na maokoto ndio hii ya leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Nao Arsenal chini ya Mikel Arteta watakuwa na kibarua cha kusaka pointi 3 dhidi ya Nottingham Forest ambapo timu hizi zote zinafanana pointi ila kinachowatofautisha ni magoli pekee. The Gunners wana mechi 4 hajashinda kwenye ligi. Je vijana wa Nuno Santos watamzuia Arteta kushinda leo?. 1.40 kwa 8.20 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Na mechi kali leo hii ni hii ya bingwa mtetezi Manchester City vs Tottenham majira ya saa 2:30 usiku ambapo Pep Guardiola na vijana wake watakuwa wakiuchukulia huu mchezo wa leo kwa jicho lingine baada ya kukosa pointi 3 kwenye mechi mbili zilizopita. Nani kushinda leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.41 kwa 6.40. Jisajili hapa.
Tukihamia kule LALIGA leo hii kuna mechi za pesa pia ambapo Valencia ambaye ndiye kibonde wa ligi, atamualika kwake Real Betis ambaye yupo nafasi ya 7. Mwenyeji anataka kushinda leo hii ili alipe kisasi cha kupokea kipigo mechi ya mwisho walipokutana. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri hapa.
Naye Diego Simeone na vijana wake Atletico Madrid watakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya Deportivo Alaves ambao wapo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Mtanangewa mwisho kukutana, Atletico alipoteza. Je leo hii atalipa kisasi?. 1.48 kwa 8.00 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
Nao vinara wa Hispania, Barcelona baada ya kupoteza mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa wageni wa Celta Vigo ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda ndani ya Meridianbet leo. Je wewe unampa nani kuondoka na ushindi wa uhakika leo?. Mechi hii imepewa 4.80 kwa 1.67. Jisajili hapa.
BUNDESLIGA nayo itarindima leo hii kwa mitanange ya maana RB Leipzig atasafiri kusaka pointi 3 dhidi ya TSG Hoffenheim ambao wana pointi 9 pekee kwenye michezo 10 ambayo wamecheza. RB anahitaji ushindi leo kuendelea kujikita kileleni. Je mwenyeji atamzuia?. Mechi hii ina ODDS 3.25 kwa 2.18. Suka jamvi hapa.
Wakati Borussia Dortmund baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo hii atamualika kwake SC Freiburg ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Borussia wamepita pointi moja pekee na wageni wao. Nani kuondoka kifua mbele leo?. 1.80 kwa 4.30 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
Bingwa mtetezi Bayer Leverkusen atakuwa na kibarua cha kusaka ushindi nyumbani dhidi ya FC Heidenheim ambao wapo nafasi ya 16 kwenye ligi. Alonso na vijana wake wanahitaji kushinda leo baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita. Beti mechi hii yenye ODDS 1.20 kwa 14. Beti hapa.
Ligi nyingine ya kubeti ni hii ya Italia, SERIE A ambapo mechi ya mapema kabisa ni hii ya Hellas Verona dhidi ya Inter Milan ambao wanahitaki ushindi ili wake kileleni. Mara ya mwisho kukutana walitoa sare. ODDS za mechi hii ni 7.20 kwa 1.43. Jisajili hapa.
Wakati mechi kali huku itakuwa ni hii ya AC Milan vs Juventus majira ya saa 2:00 usiku ambapo kila timu inahitaji pointi 3 leo hii. Ni suluhu iliyopatikana mechi ya mwisho walipokutana. Je beti yako unaiweka kwa nani leo?. Bashiri mechi hii yenye 2.20 kwa 3.50 ndio ODDS za mechi hii.
Atalanta atakuwa mgeni wa Parma ambaye yupo nafasi ya 13 kwenye ligi. Gasperini akishinda leo anaongoza ligi hivyo ushindi huu wa leo ameutolea sana macho. Tengeneza jamvi na uweke mechi hii yenye ODDS 5.20 kwa 1.61.