Suka jamvi na Meridianbet leo

 

Baada ya jana kushuhudia mitanange kibao, hatimaye leo hii tena mechi kibao zinaendelea kuanzia EPL, LALIGA, SERIE A na nyingine nyingi. Tengeneza jamvi lako la ushind hapa.

Ligi kuu ya Uingereza EPL, leo hii kutakuwa na mitanange miwili ambapo mechi ya mapema ni hii ya kinara wa ligi Liverpool ambaye atakua mgeni wa Southampton ambae anashika mkia kwenye msimamo wa ligi hadi sasa. Arne Slot na vijana wake wanapewa nafasi kubwa ya kushinda leo wakiwa na ODDS 1.37 kwa 8.40. Jisajili hapa.

Mechi ya baadae ya saa 1:30 itakuwa ni kati ya Ipswitch Town dhidi ya Manchester United ambao wana kocha mpya kwasasa. United anahitaji ushindi ili asogee nafasi za juu halikadhalika kwa mwenyeji. Je Kocha Amorim leo atawazawadia Mashetani Wekundu pointi 3?. Mechi hii ina ODDS 5.40 kwa 1.63. Bashiri hapa.

Ondoka na maokoto Jumapili ya leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Tukihamia kule LALIGA leo hii pia kitawaka haswa timu za kukupatia pesa zipo CA Osasuna atamkaribisha kwake Villarreal ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee huku mara ya mwisho kukutana walitoa sare. Beti yako unampa nani leo?. ODDS za mechi hii ni 2.60 kwa 2.70. Tengeneza jamvi hapa.

Wakati kwa upande wa Sevilla yeye atakiwasha dhidi ya Rayo Vallecano. Ikumbukwe kuwa timu zote zimetoka kupoteza mechi zao zilizopita huku leo hii mabingwa wa ubashiri wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.23 kwa 3.40. Suka mkeka wako hapa.

Bingwa mtetezi, Real Madrid baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mgeni wa CD Leganes ambaye pia alishinda mechi yake iliyopita. Nafasi ya kuondoka na pointi 3 amepewa Ancelloti na vijana wake kwa ODDS 1.40 kwa 8.40. Jisajili hapa.

Vilevile kule Italia SERIE A nayo kitapigwa ambapo Torino itakipiga dhidi ya AC Monza ambao wapo nafasi ya 2 kutoka mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 11 huku mechi ya mwisho kukutana Monza alipasuka. Nani kushinda leo?. Mechi hii ina ODDS 2.11 kwa 4.20. Bashiri sasa.

Pia mechi nyingine kali ni hii ya Como 1907 dhidi ya ACF Fiorentina ambao wapo nafasi ya 4 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 15 hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao ni 15 na kule Meridianbet anayependelea kuondoka na ushindi leo ni mgeni akiwa na ODDS 2.14 kwa 3.70. Beti hapa.

Napoli watakuwa uso kwa uso dhidi ya AS Roma ambao walichapika mchezo wao uliopita wakiwa nyumbani. Vijana wa Conte wanahitaji ushindi leo kurejea kileleni huku mtanange wa mwisho kukutana walitoa sare. Beti yako unaiweka wapi kwa hizi timu mbili?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.83 kwa 4.70.

LIGUE 1 kule Ufaransa kuna mechi za pesa pia ambapo Lille atakiwasha dhidi ya Stade Rennes ambapo wametofautiana pointi 8 huku mwenyeji akiwa nafasi ya 4 na mgeni wake akiwa nafasi ya 14. 1.95 kwa 4.00 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Nantes atakiwasha dhidi ya Le Havre ambapo timu zote zipo nafasi ya chini, mwenyeji yupo nafasi ya 15 na mgeni yupo nafasi ya 17. Meridianbet wanakwambia hivi mechi hii inaweza kukupatia maokoto ya maana. Unasubiri nini?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.88 kwa 4.60.

Pia OGC Nice atamkaribisha kwake Strasbourg Alsace huku kila timu ikiwa inahitaji pointi 3 muhimu leo hii. Ni pointi 4 pekee ambazo zinawatengenisha hawa wawili. Je pesa yako unamdhamini nani hii leo?. 1.75 kwa 4.70. Bashiri hapa.

About The Author

Related Posts