Tarehe 27 watumishi ZNZ kazini kama kawaida

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Charles Hillary ametoa taarifa kwa watumishi wa Umma Kuhusu utaratibu wa watumishi wa serikali kuendea na kazi kama ilivyokawaida Licha ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa Novemba 27 unaotajwa Upande wa Bara

ameyasema hayo maara Baada ya Uchaguzi unaotarajiw kufanyika bara ambapo kwa zanzibar hakutakua na uchaguzi hivo ametoa taarifa hiyo kwa watumishi wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuendelea na kazi na hatakua na mapumziko.

Related Posts