Rais Samia aweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Msikiti

Na Mwandishi Wetu

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 25, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro.

Akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi, amewasisitiza waislamu kujenga madrasa nyingi zaidi ili kuwapatia watoto mafunzo ya kiimani ambayo yatawawezesha kuwa na jamii zenye maadili.

Related Posts