Mbunge Nape ametumia usafiri wa pikipiki kwenda kupiga kura

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye akiwa jimboni kwake ametumia usafiri wa pikipiki kwenda kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na mambo mengine amewataka wagombea wote wakubali matoke

“watu wamejitokeza kwa wingi hilo jambo linafurahisha, nataka kutoa wito kwa wagombea wote wakubali matokeo sababu hii nayo ni tabu watu wakishapiga kura matokeo yakapatikana watu wanaanza kelele, nina amini kila atakae shinda atakubali na atakae shindwa atakubali matokeo” Nape

kwa Upande wa wananchi maeneo mbalimbali jimbo la Mtama wameeleza namna zoezi linavyo kwenda huku wakisisitiza watu wengine wasikae majumbani waendelee kujitokeza kwa wingi kuchagua viongozi ambapo zoezi hilo linafika ukomo saa 10 jioni

Related Posts