Picha: Rais Samia ashiriki Sherehe za Kamisheni na mahafali kwa Maafisa Wanafunzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku kamisheni katika Cheo Cha Luteni Usu Maafisa Wanafunzi kundi la 05/21BMS na kundi la 71/23 (Regular) waliohitimu Kwenye Chuo Cha mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo November 28, 2024.

Related Posts