Picha: VIongozi na Watu mbalimbali waliohudhuria Samia Infrastructure Bond Mlimani City Hall DSM

Ni November 29, 2024 ambapo Benki ya CRDB inazindua SAMIA INFRASTRUCTURE BOND patika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City Hall jijini Dar es Salaam.

Huku Mgeni Rasmi ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ambae atawasili katika ukumbi huu kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia alivyowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City ambapo Uzinduzi wa SAMIA INFRASTRUCTURE BOND unafanyika.

Hizi ni baadhi ya picha za Viongozi na wakiwemo mastaa wa Bongo Movies waliohudhuria kwenye Uzinduzi huu wa SAMIA INFRASTRUCTURE BOND katika ukumbi wa mikutano Mlimani City Hall Jijini Dar es Salaam.

 

Related Posts