Wikendi ndio hiyo inaenda kuanza leo ambapo mechi ktoka ligi mbalimbali zinaenda kupigwa leo. Suka jamvi lako na Meridianbet uibuke bingwa sasa.
Tukianza na ligi kuu ya Uingereza EPL leo, Brighton baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Southampton ambao ndio wa mwisho kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.40 kwa 5.40. Nani kushinda leo?. Beti sasa.
Pia kule Italia SERIE A kama kawaida kuna mechi kali ya pesa ambapo Cagliari Calcio atamenyana dhidi ya Hellas Verona. Tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee huku mwenyeji akiwa nafasi ya 16 na mgeni wake nafasi ya 14. Mara ya mwisho kukutana, walitoa sare. Je beti yako leo unaipeleka kwa nani?. ODDS za mechi hii ni 2.05 kwa 4.00. Jisajili hapa.
Ijumaa ya maokoto imekufikia sasa ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vilevile kuna mtanange mwingine kule LALIGA ambapo Mallorca atakipiga dhidi ya Valencia CF. Mwenyeji yupo nafasi ya 8 na mgeni yupo nafasi ya 18 ikiwa tofauti ya pointi kati yao ni 11. Mechi ya mwisho kuonana walitoka suluhu hivyo leo hii kila timu inahitaji ushindi kwa hali na mali. Mechi hii ina ODDS 2.05 kwa 4.50. Bashiri sasa.
Bashiri pia mechi ya FC ST. Pauli dhidi ya Holstein Kiel kule BUNDESLIGA ambapo mechi hii ina ODDS KUBWA pale Meridianbet kwani timu zote zipo chini kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 16 na mgeni nafasi ya 17. Ongeza mechi hii kwenye jamvi lako leo. 1.73 kwa 5.20 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
LIGUE 1 kule Ufaransa nayo kitawaka haswa ambapo Stade Reims baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, atamleta kwake RC Lens ambaye alipigika vibaya mchezo wake uliopita. Je mgeni atakubali kichapo kingine akiwa ugenini leo?. Meridianbet wanampa nafasi ya ushindi mgeni akiwa na ODDS 2.40 kwa 3.05. Je kwako wewe nani unampendelea akupe pesa?. Tengeneza jamvi hapa.
Ligi daraja la kwanza kule Uingereza, CHAMPIONSHIP pia kuna mchezo mmoja kati ya Sheffield United dhidi ya Sunderland AFC ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 2 na mgeni wake yupo nafasi ya 4. Mechi ya mwisho kukutana Sheffiel alishinda. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. Beti mechi hii yenye ODDS 2.05 kwa 3.90.
Ligi kuu ya SAUDIA pia kuna mechi za kubetia Al Nassr baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa na kibarua cha kusaka pointi 3 dhidi ya Damac FC ambao wao walishinda mechi yao iliyopita. Ronaldo na wenzake wanahitaji ushindi leo hii na hawataki kupoteza mechi ya pili mfululizo. 1.23 kwa 11 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Nao Al Ahli Saudi watamenyana dhidi ya AL-Wehda FC ambao wapo nafasi ya 16 wakiwa na pointi zao 9 pekee, wakati kwa mwenyeji yeye yupo nafasi ya 8 akiwa na pointi zake 18. Nani kuondoka na ushindi leo hii. Mechi hii imepewa ODDS 1.22 kwa 11. Jisajili hapa.