Ishu ya Kali, KMC iko hivi!


UONGOZI wa KMC kupitia kwa ofisa mtendaji mkuu wa kikosi hicho, Daniel Mwakasungula umeeleza sababu za kukosekana kwa kocha mkuu wa timu hiyo, Kali Ongala katika benchi lao la ufundi ni kutokana na kukosa kibali cha kazi ‘Work Permit’.

Related Posts