MWENYEKITI INEC AKAGUA MAFUNZO – Mzalendo

 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, (kushoto) akikagua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji ngazi ya jimbo yaliyokuwa yakifanyika kwa siku mbili katika kituo cha Shule ya Sekondari Ilboru Mkoani Arusha  alipotembelea mafunzo hayo leo Disemba 5, 2024. ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unataraji kuanza Disemba 11 hadi 17, 2024. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, (kushoto) akikagua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji ngazi ya jimbo yaliyokuwa yakifanyika kwa siku mbili katika kituo cha Shule ya Sekondari Arusha Mkoani Arusha alipotembelea mafunzo hayo leo Disemba 5, 2024. ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unataraji kuanza Disemba 11 hadi 17, 2024. (Picha na INEC).

Related Posts