RAIS DKT. MWINYI AWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Mzee wa Chama Cha Mapinduzi Haji Machano alipofika Hospitali ya Mkoa Lumumba kuwatembelea wagonjwa mbalimbali, waliolazwa katika Hospitali hiyo ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 6-12-2024.(Picha na Ikulu)

Related Posts