Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam.
Shabiki wa klabu ya Yanga na Manchester United
Bright Mwakasege ameshinda Sh20 million kupitia kasino maarufu ya LEONBET
kwenye mchezo pendwa wa Aviator.
Ushindi huu wa Mwakasege ambaye ni mkazi wa
Dar es Salaam, umetokana na dau lake la Sh200 tu kwa kupata odds au multiplier
x100000 – kitu ambacho ni nadra sana kutokea katika mchezo huu wa Aviator
maarufu kama kindege.
Akizungumza baada ya ushindi, Bright alisema
kuwa awali alifikiri amejishindia Sh2 milioni tu na hiyo ilitokana na uharaka
wake wa kuangalia kiasi cha fedha alichoshinda.
“Niliangalia haraka haraka, nikajua ni Sh2
milioni. Hata hivyo, kaka yangu alipopitia tena ushindi huo, aliniambia kuwa
nimeshinda Sh20 milioni. Hapa nikajaa na furaha zaidi baada ya kufahamu kuwa
amepata bahati kubwa ya kushinda zawadi hiyo,” alisema Bright.
Alisema kuwa Kasino ya LEONBET
imetoa ushuhuda wa kufurahisha katika michezo ya burudani kama Aviator
inavyoweza kuleta furaha na faraja kubwa
kwa wateja wake.
Katika msimu huu wa sikukuu, kampuni hiyo
inaendesha kampeni kabambe ijulikanayo kwa jina la “Shangwe la Sikukuu na LEONBET”,
ambapo wateja wanapata nafasi ya kujishindia zawadi kemkem kila siku na kila
wiki.
Zawadi hizo ni simu janja au Smartphone mpya
kwa kila siku, televisheni za inchi 65, pikipiki mpya kila wiki.
Ili kushiriki, unachotakiwa ni kujisajili
kupitia tovuti rasmi ya LEONBET: www.leonbet.co.tz na kuanza kufurahia michezo
mbalimbali ya kasino kwa urahisi na furaha.
LEONBET inasisitiza kuwa kila mteja ana nafasi
ya kushinda na kuburudika katika msimu huu wa sikukuu na kuwaomba wadau
kuendelea kuweka dau na huenda wakawa mshindi wa zawadi kubwa kama aliyoshinda
Bright Mwakasege na kutimiza ndoto zako.
Mshindi wa mchezo wa aviator wa kasino ya
LEONBET, Bright Mwakasege akiwa katika pozi mara baada ya kukabidhiwa fedha
Sh20 milioni alizoshinda kwa dau la sh200 tu