USIKU WA ULAYA MAOKOTO NJE NJE

KAMA utafanikiwa kuchanga karata zako vizuri leo unaweza kuondoka na maokoto ya kutosha leo kupitia michezo ya ligi ya mabingwa ulaya, Kwani itachezwa michezo mikali sana leo kwenye usiku wa ulaya ambayo imepewa Odds bomba pale Meridianbet.
Michezo ambayo itapigwa leo kwenye ligi ya mabingwa ulaya ni michezo mikali ambayo itakutanisha miamba ya soka barani ulaya ambayo inakwenda kucheza michezo yao ya raundi ya sita kuhakikisha wanapata nafasi ya kufuzu hatua ya 16.
Manchester City ya Pep Guardiola ambao wamekua na kiwango cha kusuasua hivi karibuni leo watakaribishwa na klabu ya Juventus nchini Italia ambao na wao wamekua hawapo kwenye kiwango bora kwasasa, Hivo hapo anasubiriwa ni nani ambayo anaweza kufufukia kwa mwenzake.
Borussia Dortmund watakua pale kwenye dimba lao la nyumbani Signal Iduna Park kuwakaribisha mabingwa mara tano wa michuano hiyo klabu ya Barcelona ambao wapo kwenye ubora mkubwa, Mchezo huu unatizamiwa kua mchezo mkali sana kutokana na ubora wa timu zote mbili.
Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.
Arsenal dhidi ya As Monaco kutoka nchini Ufaransa ni mchezo mwingine wa ligi ya mabingwa ulaya ambao utapigwa leo, Mchezo huu unakutanisha timu ambazo zinalingana alama kwenye msimamo kwani mpaka sasa wana alama 10 kila mmoja hivo leo anatafutwa ambaye atampita mwenzake alama kwa kushinda mchezo huu.

Related Posts