RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZINDUA RASIMU YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 UKUMBI WA HOTELI GOLDEN TULIP UWANJA WANDEGE ZANZIBAR

 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.(Picha na Ikulu)


BAADHI ya Viongozi wa Serikali, Taasisi na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, iliyozinduliwa leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MWANANCHI Rehema Ali Hassan Mkaazi wa Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja akifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa uzinduzi huo, uliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-12-2024.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-12-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, baada ya kuizindua leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Related Posts