Ni Mkurugenzi na Rais wa kampuni ya GSM Group of Companies, Ghalib Said Mohamed ambae time hii amefika kwenye ofisi za Silent Ocean ltd kwenye Godown mpya ya kisasa iliyopo huko Foshan huko China.
Hizi ni baadhi picha mbalimbali zikimuonesha akiwa na wafanyakazi wa Silent Ocean Ltd
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Silent Ocean China Ibrahim Rashi amesema kufunguliwa kwa Godown hiyo ni kuwapa urahisi na ukaribu wateja wao pindi wanapotoka kufanya manunuzi masokoni mjini GUANGZHOU.
Aidha Godown hiyo pia itasaidia kuboreshaji wa huduma zetu kwenye idara zote (𝗟𝗢𝗢𝗦𝗘 𝗖𝗔𝗥𝗚𝗢, 𝗖𝗢𝗠𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗜𝗡𝗚 na 𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗖𝗢𝗡𝗧𝗔𝗜𝗡𝗘𝗥).