Bunge lapitisha bajeti ya Wizara ya Elimu

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani limepitisha BAJETI ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ambapo ujumla ya shilingi trilioni 1.97 zimeidhinishwa kutekeleza miradi mbalimbali ya wizara hiyo kwa makadirio, mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Related Posts