BODI YA NBAA YATAKIWA KUFANYA MABORESHO YA MITAALA

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA, Pius Maneno, baada ya kuwasili kwa ajili ya halfa ya uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Sylvia Temu na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA, Pius Maneno.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Sylvia Temu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA, Pius Maneno.

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na Menejimenti ya Bodi hiyo wakipitia nyaraka mbalimbali kabla ya kuanza kwa hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo, uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akiteta jambo na Mhasibu Mkuu wa Serikali CPA, Leonard Mkude, ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), baada ya kumalizika kwa halfa ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Sylvia Temu baada ya kumalizika kwa halfa ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Sylvia Temu (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA, Pius Maneno, wakielekea kwenye ukumbi kwa ajili ya halfa ya uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) baada ya hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Sylvia Temu, Mjumbe wa Bodi CPA Fredrick Msumali na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA, Pius Maneno na Mhasibu Mkuu wa Serikali CPA, Leonard Mkude ambaye ni Mjumbe wa Bodi hiyo. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Dar es Salaam).

Related Posts