KOCHA wa Fountain Gate, Mohammed Muya amesema hana wasiwasi licha ya kuwapo kwa taarifa ya nyota wawili wa kikosi hicho wanaoongoza kwa mabao, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ na Edger Williams kunyemelewa na klabu nyingine, bado haoni tatizo linaloweza kuikwamisha timu hiyo.