CUF wagawana mbao – Mwanahalisi Online

PROFESA. Ibrahim Lipumba, ametangazwa mshindi wa kiti cha uenyekiti ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Washindani wake watatu, Hamad Masoud Hamad, Maftaha Nachuma na Willifred Lwakatare, wamegoma kuyatambua matokeo ya uchaguzi huo.

Soma MwanaHALISI baadaye.

About The Author

Related Posts