Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga afariki dunia

Tanga. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.

Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho.

Endelea kufuatilia Mwananchi.

Related Posts